Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Caby, Dully Sykes waileta ‘Tisha Baba’

WhatsApp Image 2020 08 27 At 13.50.25.jpeg Caby, Dully Sykes waileta ‘Tisha Baba’

Thu, 27 Aug 2020 Chanzo: mtanzania.co.tz

MREMBO anayekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva, Beatrice Mbwiga a.k.a Caby Nedvarda, amewashukuru wapenzi wa muziki huo kwa mapokezi ya wimbo, Tisha Baba aliomshirikisha Dully Sykes.

Caby, ameliambia Papaso la Burudani kwamba bado anahitaji sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki hasa katika wimbo huo ambao ndio wa kwanza.

“Tisha Baba ndio kazi yangu mpya ya kwanza rasmi, nawashukuru sana kwa sapoti na mapokezi mazuri, kwahiyo mashabiki wanaweza kwenda kwenye chaneli yangu ya YouTube, Caby Music kuitazama cvideo hiyo,” alisema Caby ambaye ni mzazi mwenza wa Ruge Mutahaba.

Chanzo: mtanzania.co.tz