Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

COSOTA yatoa mafunzo kwa wadau wa muziki

MAFUNZOOOO COSOTA yatoa mafunzo kwa wadau wa muziki

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Mtendaji Mkuu na msimamizi wa Hakimiliki Tanzania Doreen A. Sinare amefungua mafunzo ya wajumbe wa kampuni ya kukusanya na kugawa Mirabaha (CMO) kwa kazi ya muziki

Mafunzo hayo yamefanyika leo Julai 20, 2023 jijini Dar es Salaam ambayo yameandaliwa na COSOTA kwa kushirikiana na Shirika la Miliki Bunifu Duniani (ARIPO)

Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo viongozi TAMRISO na wadau wa Muziki namna ya kusimamia na kuziendesha CMO pamoja na kueleza wajibu wa TAMRISO kwa wanachama wake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live