Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

CHIKUMBALA AZUA GUMZO MTANDAONI

Capture 532?fit=525%2C405 CHIKUMBALA AZUA GUMZO MTANDAONI

Sat, 5 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mchekeshaji nchini Tanzania anaejulikana kwa jina la Chikumbalaga Sukariyao amewashangaza wengi baada ya kuanza kutembea na ‘bodyguard’ wake mtaani kama wanavyofanya baadhi ya wasanii.

Chikumbalaga Sukariyao amekutrend kwenye mitandaoni baada ya kushea picha hizo akiwa na bodyguard wake kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Sukariyao ni mzaliwa wa Tunduma Mkoani Mbeya, amepata umaarufu kwa njia ya wasanii kumtumia kwenye upande wa kuchekesha pale anaposhea video na audio akizisapoti kwa kucheza au kuimba nyimbo za wasanii hao kisha kupost mitandaoni.

Chanzo: zanzibar24.co.tz