Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CALISAH: Naongoza kwa DM za warembo, Lipa 350K nikujibu

Calissah Calisah

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Model maarufu Afrika kwa sasa @calisah amejigamba kuwa ni miongoni mwa watu wenye DM nyingi zaidi za wanawake Afrika Mashariki ambazo hajajibu, hii kauli Calisah ameitoa baada ya mrembo kutoka Kenya Shakila @i.am_shakilla kudai kuwa anataka kulipwa Dola 50 ili kujibu DM Za watu huku kalisa alikuwa na DM zake kibao.

Calisah ameandika, "Hawa Ndo Maslay Quen wanaosema wanataka walipwe kujibu Dm..? Anyways, Nina Mastar wenu zaidi ya 23 in my Dm na Bado sina time.I don’t think kuna mtu ana Dm nyingi za wanawake zaidi Yangu East Africa, I have been that Guy my whole life"

Calisa pia amesema kwanzia sasa atatoza Tsh 350,000 kujibu DM za warembo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live