Menu ›
Burudani
Mon, 5 Feb 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baada ya kuugua na kutoonekana kwa muda mrefu, Mwanamuziki nguli Céline Dion amepanda kwenye Jukwaa la Grammy kumkabidhi tuzoTaylor Swift na kutumia nafasi hiyo kuongea na mashabiki zake kote duniani kuhusu hali ya afya yake pamoja na kushukuru.
Céline Dion anaugua ugonjwa wa 'Stiff Person Syndrome' na kwa sasa ana umri wa miaka 55.
Tuzo za 66 za Grammy zimefanyika usiku wa kuamkia leo nchini Marekani.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live