Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Busu la shavu la Bieber kwa Jaden Smith lazu gumzo

Busu La Shavu La Bieber Kwa Jaden Smith Lazu Gumzo Busu la shavu la Bieber kwa Jaden Smith lazu gumzo

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wikiendi hii katika tamasha maarufu zaidi la muziki Duniani Coachella wasanii mbalimbali wametumbuiza akiwemo Justin Bieber ambaye alipanda jukwaani kutumbuiza wimbo wa Essence pamoja na wasanii kutoka barani Afrika Tems na Wizkid.

Gumzo ni kuhusu kipande cha video kinachosambaa mitandaoni kikimuonyesha Bieber akisalimiana na Jaden Smith tofauti na wengi walivyotarajia Jumamosi hii kwenye Coachella, Jaden alimshtukiza Bieber kwa kumkumbatia kwa nyuma na kubusiana na kumuacha akielekea VIP.

Wawili hao ushkaji wao ulianza tangu mwaka 2010 waliposhirikiana katika wimbo (Never Say Never) uliotumika katika filamu ya Karate Kid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live