Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burnaboy Amwambia Mama "Sitaoa"

Burna Na Mama Burna Boy na mama yake

Tue, 26 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa.

Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema; “Mama yangu anachukia sana ninapomwambia kuwa sitaoa kamwe...anabadilika kuwa mwekundu...”

Kwa hili #BurnaBoy anaingia kwenye orodha ya mastaa wa kubwa wa muziki Africa ambao bado hawajafunga ndoa na wapenzi wao. Kwa sasa Burna yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake wa muda mrefu Stefflon Don.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live