Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy ni mwendo wa rekodi na maokoto tu!

Burnaboy Trse Burna Boy ni mwendo wa rekodi na maokoto tu!

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Album ya supastaa wa muziki Afrika, Damini Ebunoluwa Ogulu MFR maarufu kama Burna Boy "I Told Them" imefikisha streams milioni 100 kwenye jukwaa maarufu la muziki la Spotify.

'I Told Them' ni album ya tano kwa Burna Boy kufikisha zaidi ya Streams milioni 100 Spotify, album yenye streams nyingi zaidi ni "Love Damini" (800M).

Ikumbukwe kwamba 'I Told Them' imetoka rasmi mnamo Agosti 25, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live