Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy ndiye msanii maarufu wa Afrika nchini Uingereza

Burna Boy Has Postponed His Concert At FNB .jpeg Burna Boy ndiye msanii maarufu wa Afrika nchini Uingereza

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Burnaboy ndiye Msanii wa kwanza wa Kiafrika kuongoza Chati ya Albamu za Uingereza Ana maingizo 22 kwenye Chati ya UK Singles, ambayo ni idadi ya juu zaidi kwa Mwafrika. Ana maingizo 4 kwenye Chati ya Albamu za Uingereza, idadi ya juu zaidi kwa Mwafrika.

Ana vyeti vingi zaidi vya Uingereza( UK certifications) kwa Msanii wa Kiafrika. ana nyimbo 4 zenye hadhi ya Platinum nyimbo 4 za Dhahabu na nyimbo 7 za Fedha, Ana albamu 2 za Dhahabu na albamu 1 ya Fedha.

Ameuza jumla ya viti 60,000 vya London Stadium, O2 Arena uwezo wa kubeba watu 20,000, Wembley Arena unao ingiza watu 12,500, Eventim Apollo uwezo wa kubeba watu 5,039 na O2 Brixton Academy unao ingiza watu 4,921.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live