Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy kuwaburuza waandishi mahakamani

Burna Boy Has Postponed His Concert At FNB .jpeg Burna Boy kuwaburuza waandishi mahakamani

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa ni wiki chache tangu mkali wa Afrobeat Burna Boy kutaka kuwalipa pesa waandishi wa blog nchini Nigeria ili waache kuandika habari zake, hatimaye mwanamuziki huyo amedai kuwa anampango wakutafuta mawakili 100 kwa ajili ya kushuhurika na wana-bog wanaoendelea kuandika habari zake.

Burna Boy ameweka wazi suala hilo kupitia ukurasa wake wa X kwa kueleza kuwa pesa alizopanga kuwalipa wana-blog ili waache kuandika habari zake, sasa anawaza kuwapa mawakili 100 ili kushughulikia jambo hilo.

Burn Boy anaendelea kufanya vizuri katika muziki wa Afrobeat ambapo anatamba na ngoma zake kama ‘Last Last’ ‘For My Hand’ aliomshirikisha Ed Sheeran, ‘It's Plenty’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live