Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy kutumbuiza Tamasha la Coachella 2023

Burna Boy E1555408815415 Burna Boy

Fri, 13 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa Nigeria Burna Boy ametajwa tena kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Muziki nchini Marekani #Coachella mwaka 2023.

Burna Boy ametajwa kwenye orodha ya wasanii ambao watatumbuiza siku ya Ijumaa April 14 pamoja na wakali Bad Bunny, Pusha T, Becky G, Metro Boomin na wengine.

Tamasha hilo ambalo huenda kwa wikendi mbili, mwaka huu litaongozwa wakali kama Calvin Harris, Frank Ocean, Blackpink na Bad Bunny. Hii inakuwa mara ya pili kwa Burna Boy kutumbuiza kwenye Jukwaa kuu la tamasha hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live