Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy kupumzika muziki

Burna Boy Rest Burna Boy

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Burna Boy huwenda akapitia ambayo Rihanna anawapitisha mashabiki zake kwa miaka 7 sasa, yaani kupumzika kufanya Muziki.

Kwenye insta story yake Burna Boy ameandika kwamba, kwa pesa ambazo anaziona kwenye mkataba wake mpya basi inamtia mashaka kama ataweza tena kuendelea kufanya Muziki.

“Kwa namba nazoziona kwenye huu Mkataba, hii miaka ijayo kwenye maisha yangu itaonesha dhahiri kama kweli napenda kufanya Muziki. Mungu anataka kunipima mapenzi yangu kwenye Muziki. Ninaweza kujikuta napinduka kama Rihanna.” aliandika Burna Boy.

soma hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live