Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy kuandika historia Tuzo za Grammy

Burna Boy Rest Burna Boy

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, BurnaBoy anatarajia kutumbuiza kwenye sherehe ya ugawaji Tuzo za Grammy 2024 zitakazofanyika Februari 4 katika ukumbi wa Crypto nchini Marekani mjini Los Angeles.

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, BurnaBoy anatarajia kutumbuiza kwenye sherehe ya ugawaji Tuzo za Grammy 2024 zitakazofanyika Februari 4 katika ukumbi wa Crypto nchini Marekani mjini Los Angeles. Burna Boy anaweka historia kuwa msanii wa kwanza kutoka Nigeria kutumbuiza katika Tuzo za Grammys ambapo mwaka 2021 aliwahi kushinda tuzo hizo katika kipengele Albamu bora ya muziki wa Grobal ‘Destiny’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live