Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy kuachia albamu mpya Ijumaa hii

Burna Boy 780x470 Burna Boy kuachia albamu mpya Ijumaa hii

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa muziki Burna Boy ametangaza kuachia Album yake mpya mnamo August 25,2023.

Album hiyo inayokwenda kwa jina la I Told Them itakuwa na jumla ya nyimbo 15+1 ya nyongeza.

Kwenye Album hiyo mastaa mbalimbali kama JCole, 21Savage Seyi Vibes watasikika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live