Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy awalipia bili wagonjwa wote hospitali

Burna Boy Has Postponed His Concert At FNB .jpeg Burna Boy

Wed, 12 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni Headlines za African Giant @burnaboy ambaye taarifa zinasema amelipia bili za matibabu za wagonjwa wote katika Hospitali ya University Of Port Harcourt Teaching nchini kwao Nigeria.

Burna Boy amerudisha hilo kwa jamii baada ya kutembelea Hospitali hiyo akiwa na mama yake mzazi lakini mpaka sasa hajapost chochote kuhusu kufanikisha tukio hilo.

Staa gani Bongo ungetamani kuona anasaidia jamii bila kutangaza kama Burna Boy?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live