Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy awa msanii wa kwanza Afrika kujaza Uwanja Marekani

Burna Boy Burna Boy.

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani .

Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave kutoka Uingereza aliyepewa nafasi kupanda Jukwaani pamoja na dada yake Burna Boy, Nissi.

AfroBeats inazidi kushika chati mbalimbali duniani ambapo hivi karibuni Mastaa wakubwa kutoka Ulaya na Marekani wamekuwa wakionesha mapenzi yao ya wazi kwa kuchapisha Video wakisikiliza au kucheza nyimbo za Wasanii kutoka Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live