Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy aonesha ndinga zake za kifahari

Burna Boys.jpeg Burna Boy aonesha ndinga zake za kifahari

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii anayelipwa pesa nyingi barani Afrika Burna Boy, ameonyesha ufahari wake kupitia magari anayoyamiliki ya milioni nyingi za Dola.

Msanii anayelipwa pesa nyingi barani Afrika Burna Boy, ameonyesha ufahari wake kupitia magari anayoyamiliki ya milioni nyingi za Dola. Kwa sasa Burna anamiliki Rolls Royce mbili, Lamborghini mbili, Ferrari mbili, Mercedes Maybach mbili na zaidi na sio ufahari wa magari tu bali pia ndiye msanii anayelipwa pesa nyingi zaidi barani Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live