Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy amshirikisha shabiki wake kwenye albam mpya

J Cole Burna Boy New Burna Boy amshirikisha shabiki wake kwenye albam mpya

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa muziki Afrika, Damini Ogulu, 'Burna Boy', amemuweka shabiki yake J. Cole kwenye albamu yake mpya baada ya shabiki huyo kumfananisha Burna na aliyekuwa rapa maarufu Duniani, 2Pac.

Burna Boy ambaye ni raia wa Nigeria, Agosti 25, mwaka huu ameachia albamu yake inayokwenda kwa jina la "I Told Them" ameshirikiana na 'Cole' kwenye ngoma moja wapo iitwayo "Thanks".

Wakati wa mahojiano na "Rap Radar Podcast", Rapa huyo wa Dreamville 'J. Cole' alimwita 'Burna Boy' kuwa ni "2Pac reincarnated" akimaanisha ni kuwa "2Pack Kazaliwa Upya"

Je, Unaungana na Kauli hii ya 'J. Cole'?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live