Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy ampandisha jukwaani Toni Braxton - Video

Toni Burna.jpeg Burna Boy na Toni Braxton

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia leo wakati Mwanamuziki Burna Boy akitumbuiza "State Farm Arena" Atlanta Marekani aliwashitua mashabiki zake waliokuwepo kwenye Show hiyo baada ya kumpandisha Jukwaani Mwanamuziki wa Marekani, Mrembo Toni Braxton kisha akatumbuiza naye Wimbo wa "Last Last".

Watu wengi walifurahishwa na Surprise hiyo kwani hawakutegemea kuwa Toni Braxton anaweza kutokea kwenye show hiyo.

Tukio hili limezidi kumjengea heshima kubwa Burna Boy kwani anazidi kuwa karibu na Wanamuziki wakubwa na wenye heshima kubwa Duniani.

View this post on Instagram

A post shared by YAMS ???? (@yamstheplaylist)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live