Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy amchana Rapa wa Marekani Bia

Burna Boy Amchana Rapa Wa Marekani Bia Burna Boy amchana Rapa wa Marekani Bia

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kutoka Nigeria Burna Boy amemchana Rapa Wa Marekani Bia ambaye alidai kuwa hamjui Burna Boy kwa Sura.

Burna Boy amemchana Bia Kwenye ngoma mpya aliyoshirikishwa, ngoma ambayo imetoka siku ya Ijumaa (April 7) na ilikuwa ni kwa ajili ya kutoa heshima kwa marehemu Rapa kutoka India, Sidhu Moose.

"Nilimsikia mpuuzi anasema haijui sura yangu, kila wakati amekuwa kwenye Dms zangu" (Mera...Na Mera Naa !!)

Burna Boy pia amemchana Ex wake Steff London ambapo ameimba kwamba;

"Nilimwambia Ex Wangu, Imekwisha Sasa.... Niko Ulimwenguni Kote Haan !Mimi Ni Wa Kimataifa Sasa Haaan ! (Mera...Na Mera Naa !!)

Miaka Miwili Iliyopita, Bia alikuwa IG Live Na Nicki Minaj kwa ajili ya Ku-Promote ngoma yao, ambapo mrembo huyo aliulizwa Kati Ya Wizkid, Davido Na Burna Boy ni yupi angependa kuwa naye katika mahusiano?

Bia Aalijibu kwa kusema hata hawajui wote watatu kwa sura (kimuonekano).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live