Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy ajizawadia gari la kifahari

IMG 20220106 WA0002 Burna Boy ajizawadia Gari la kifahari

Thu, 6 Jan 2022 Chanzo: dar24.com

Mshindi wa Tuzo ya Grammy na mwanamuziki mahiri kutoka nchini Nigeria Damini Ebunoluwa Ogulu, maarufu Burna Boy, amejipatia zawadi ya gari la kifahari aina ya Lamborgin Urus ya mwaka 2022 yenye thamani ya dola 608K ambazo ni zaidi ya Bilioni 1.3 za kitanzania.

Toleo hilo la Urus Novitec ni miongoni mwa matoleo ghali ya Novitec Group yaliyotengenezwa kwa ubora zaidi miongini mwa magari yanayozalishwa na kampuni hiyo.

Burna Boy alitumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kuonyesha gari hilo akiambatanisha na ujumbe mfupi uliosomeka.

Chanzo: dar24.com