Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy ajitenegenezea Ulimwengu wake ya muziki

Burna Boy E1555408815415 Burna Boy ajitenegenezea Ulimwengu wake ya muziki

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kufikisha streams milioni 600 katika mtandao wa #Spotify kupitia Album yake ya 'Love, Damini'.

Album ya #Love, Damini ilitoka Rasmi Julai 8, 2022 chini ya Atlantic Records na imewakutanisha mastaa mbalimbali duniani kama Ed Sheeran, J Balvin, Khalid, Lady Smith, Black Mambazo, J Hus, #Vict0ny, #Popcaan, #Blxst na #Kehlani.

Ngoma gani unaikubali kutoka kwenye Album hiyo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live