Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy, Wizkid na Skepta waingia studio

Burna Boy, Wizkid Na Skepta Waingia Studio Burna Boy, Wizkid na Skepta waingia studio

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, Wizkid na Skepta wameingia studio huku wakionekana kila mmoja akiiingiza 'voko' zake.

Wasanii kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, Wizkid na Skepta wameingia studio huku wakionekana kila mmoja akiiingiza 'voko' zake. Hii itakuwa ni ngoma ya kwanza kama itatoka mwaka huu kwa Wizkid tangu ampoteze mama yake, kwani video ya wimbo wake wa mwisho kuuachia ulikuwa ‘Money & Love’ ambao kauachia miezi nane iliyopita na hadi sasa kwenye mtandao wa YouTube umefikisha watazamani zaidi ya milioni 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live