Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy, Rema washikilia bango kuikimbiza Afro Beats

Burna Boy And Rema Burna Boy, Rema washikilia bango kuikimbiza Afro Beats

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy ameshinda tuzo ya msanii bora wa Afrobeats kwenye Tuzo za muziki za Billboard mwaka 2023 zilizotolewa usiku wa Novemba 19.

Burna Boy ameshinda tuzo hiyo ya msanii bora wa Afrobeats katika tuzo za muziki za Billboard za 2023 kwa Afrika, huku Rema na Selena Gomez pia waondoka na tuzo ya wimbo bora kupitia wimbo wa ‘Calm Down’.

Tuzo za muziki za Billboard za 2023 zilijumuisha vipengele 71 ambapo zilitangazwa online.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live