Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy: Nitapata watoto nikiwa tayari

Burnaboy Trse Burna Boy

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa muziki wa Afro Beat kutoka Nigeria, Damini Ogulu (Burna Boy), amefunguka kwanini kwasasa hayuko tayari kupata watoto 'kuwa Baba'.

Kwa mujibu wa msanii huyo mwenye miaka 32, anasema inakua ngumu kwake kutokana na shughuli zake na kuwa hataweza kuwapa uangalizi unaostahili watoto hao.

“Umemuona mama yangu jinsi anavyonipenda? Umemuona baba yangu jinsi anavyonipenda? Najua siwezi kutoa mapenzi kama hayo kwa watoto wangu kwasasa kutokana na maisha ninayoishi.

"Nidhani watoto wangu watastahili malezi bora kuliko niliyopata mimi”

“Nitapata watoto nitakapokuwa nmetulia au nitakapooa” anamalizia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live