Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy: Namlubali zaidi Harmonize

Burna Boy  . Burna Boy: Namlubali zaidi Harmonize

Fri, 21 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii anayefanya vizuri kwa sasa barani Afrika na duniani kote, Burnaboy Burna Boy amemtaja msanii wa bongofleva Harmonize kuwa ndiye msanii anayemkubali zaidi kutoka kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.

kauli hiyo ya Burna Boy inakuja ikiwa ni siku chache baada ya Harmonize kuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa Burna Boy ndiye msanii namba moja kwa sasa Duniani na anayefuatia (wa pili) ni Harmonize mwenyewe, jambo ambalo liliibua mjadala mkubwa wengi wakidai kuwa Harmo anajipendekeza kwa Burna.

Katika sehemu ya mahojiano na chombo kimoja cha habari, Burna Boy Duniani na Afrika huku akisema; "...Kwa upande wa Afrika Mashariki namkubali zaidi Harmonize...."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live