Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Brymo amshutumu Burna Boy kwa wizi wa kazi za wasanii

15)Brymo Burnaa.jpeg Brymo amshutumu Burna Boy kwa wizi wa kazi za wasanii

Sat, 7 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Nigeria 'Brymo' amemshutumua The African Giant 'Burna Boy' kuwa sio mbunifu, na badala yake amejificha kwenye kivuli cha kuiba vijionjo kutoka kwenye ngoma za wanamuziki waliomtangulia kwenye gemu.

"Nadhani 'Burna Boy' ni mwizi, sio mbunifu na hana kipaji asili kabisa. Feki sana, Kila wimbo anaoachia ni sampuli au wazo lililoibiwa kutoka kwenye wimbo wa msanii mwingine" amepepeta maneno 'Brymo'.

Vipi mtazamo wako juu ya shutuma hizi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live