Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bow Wow adokea ujio wake na Chris Brown

Bow Wow X Brown Bow Wow adokea ujio wake na Chris Brown

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juzi mkali Bow Wow alitudokeza juu ya ujio wa kazi yake ya pamoja na Chris Brown. Kupitia akaunti yake ya X (Twitter), Bow Wow alitupasha kwamba tutarajie chochote toka kwao mwezi Juni mwaka huu.

Juzi mkali Bow Wow alitudokeza juu ya ujio wa kazi yake ya pamoja na Chris Brown. Kupitia akaunti yake ya X (Twitter), Bow Wow alitupasha kwamba tutarajie chochote toka kwao mwezi Juni mwaka huu. Bow Wow aliwahi kukiri mtandaoni kwa kusema, Chris Brown ndiye rafiki pekee aliye naye kwenye hiki kiwanda cha Muziki. Wawili hao wamewahi kushirikiana kwenye kazi kadhaa ikiwemo; “Run It (Remix),” “Shortie Like Mine” na “Ain’t Thinkin’ Bout You.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live