Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Bora wazazi masikini kuliko matajiri" - 21 Savage

21 Savagee "Bora wazazi masikini kuliko matajiri" - 21 Savage

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa 21 Savage anasema wazazi masikini ni bora kuliko wazazi matajiri kwa sababu wazazi masikini wapo comfortable na watoto pia wana muda mwingi wa kukaa nao kuliko wazazi matajiri.

“Kwa mtazamo wangu naamini wazazi masikini ni bora zaidi ya wazazi matajiri. Mzazi ambaye hana kipato anapata muda mwingi na watoto, mwenye kipato anaweza kununua zawadi ingawa sio muda wote watoto wanahitaji zawadi”.

“Watoto wanapenda kutumia muda pamoja na wazazi na muda hauna gharama yoyote” - amesema 21 Savage

21 Savage amefunguka hayo kupitia interview aliyofanya na Shannon Sharpe,mengine aliyozungumzia ni issue za mahusiano, kazi zake za muziki na T.I kutaka kumsaini kwa Tsh Bilioni 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live