Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bora ukosee kujenga nyumba ila sio kuoa – Mabeste

Thu, 1 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, Mabeste amemwaga sifa lukuki kwa mke wake Lisa Fickenscher ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa (birthday).



Mabeste amemueleza Lisa moja ya vitu ambavyo hajutii ni kumuoa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Happy Birthday My Love, Sina cha kusema Zaidi ya Kusema nakupenda Saana Mama Wa Watoto wangu … Wewe Ni Mvumilivu Saaana, Unaupendo Saana, Unahuruma pia.

Kikubwa Zaidi Unaakili saaana, OooH Thanks God Kwa Zawadi Hii,

Kuna Msemo Unasema Bora Ukosee Kujenga Nyuma But Sio Kuowa, Yaniii Daah Nakupenda Saana Saaana. Kitu kingine kizuri Ulicho Barikiwa kikubwa Saana ,Unapenda Kazi Yangu ya Music Na Unajuwa Music Nzuri Ukisikia tu..Japo kuimba Ujui.

Leo ni siku Kubwa saana Kwako na Kwangu Pia..Coz Leo ndio Naachia New Track #SIJUI …Leo Mama Wa Watoto wangu Umezaliwa Upya katika Bwana Yesu ,& Hata Kipaji Changu Leo Kimezaliwa Upya Katika Jina LA Bwana wetu Yesu … Kwenye Upendo Sana Mungu Yuko Muda Wote..Coz Mungu Ni Upendo..Tutafika Safari yetu Japo Changamoto ni Nyingi..I Love u Saana.

Mabeste na mkewe, Lisa Fickenscher walifunga ndoa mwaka 2016 na hadi sasa wamejaliwa watoto wawili, Kendrick na Kaylyn.

Chanzo: bongo5.com