Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bongo movie kuanza safari ya kwenda Chato Jumatatu

Pic Steve Nyerere Data Bongo movie kuanza safari ya kwenda Chato Jumatatu

Sat, 20 Mar 2021 Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

Wasanii wa Bongo Movie, wanatarajia kuanza safari ya kwenda kshiriki shughuli za mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli, wilayani Chato, Mkoani Geita kwa kwenda na costa mbili. Ratiba ya mazishi iliyotangazwa leo Ijumaa Machi  19, 2021, na Rais Samia Suluhu, inasema kwamba mwili wa kiongozi huyo utazikwa Machi 25 siku ya Alhamisi. Akizungumza na Mwanaspoti, Mratibu wa safari hiyo, Steven Mengere maarufu kwa jina la Steve Nyerere, wakati ratiba ikiwa hivyo wao wataanza safari siku ya Jumatatu  na wataondoka jijini Dar es Salaam majira ya saa 12 asubuhi. “Sisi Rais Magufuli kwa wasanii alikuwa zaidi ya baba, alileta mapinduzi makubwa kaika tasnia hiyo, wlau sasa tunafaidika na kazi zetu na pia usimamizi umekuwa mzuri. “Hivyo tuna kila sababu ya kwenda kumsindikiza katika saari yake ya mwisho hapa duniani, na tayari tumendaa costa mbili ambazo zitabebaba wasaniiwa Bongomovie katika safari hiyo,”alisema msanii huyo.

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz