Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Blueface amchana mama yake, " Ulikuwa Kahaba"

Attachment Blueface Mom Blueface amchana mama yake, " Ulikuwa Kahaba"

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa wa Marekani, Blueface amejitokeza hadharani kumsema mama yake mzazi kwamba alikuwa 'Kahaba' kwa sababu ameolewa mara 3 na kupata watoto watatu kwa wanaume watatu tofauti.

Blueface amefunguka hilo kupitia mtandao wake wa 'X' akieleza kuwa mama yake alipenda sana pesa hivyo alikuwa ana-force kudai talaka kwa wanaume alioolewa nao ili kugawana maokoto.

Ameongeza kusema hiyo ni story ya kusikitisha kutoka kwa mama yake na hakuweza kumuheshimu tena kama mwanamke.

Unahisi amepatia kuanika madhaifu ya mama yake au amezingua?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live