Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass kusaini wasanii lebo yake

Billnenga Nandy Billnass kusaini wasanii lebo yake

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip Hop Bongo, Billnass amesema mipango yake kwa siku za mbeleni ni kuja kusaini wasanii wapya katika rekodi lebo yake, Mafioso Inc ambayo imekuwepo tangu mwaka 2021 ikisimamia kazi zake.

Kufanikisha hilo Billnass ataungana na mkewe Nandy ambaye kupitia lebo yake, The African Princess ameshamtambulisha msanii mmoja, Yammi aliyetoa EP moja, Three Hearts (2023) yenye nyimbo tatu.

Utakumbuka Billnass alitoka rasmi kimuziki chini lebo ya Rada Entertainment baada ya kuachia wimbo wake, Raha (2014) ambao aliwashirikisha TID na Naziz kutokea nchini Kenya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live