Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass kuachia ngoma kali Mei 30

Billnass 1693039280363.jpeg Billnass kuachia ngoma kali Mei 30

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Wa Hip Hop Nchini Billnass ametangaza kuchia Smash Hit tarehe 30, mwezi huu akidai kwamba hajawahi kutoa ngoma kali wala Hit Toka aanze safari yake ya muziki.

Billnass kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo kwa kusema kwamba wimbo wake mpya utaitwa Maboss.

“Hii Ngoma Ndio Itakuwa Hit Ya Kwanza,” - Billnass

Chanzo: www.tanzaniaweb.live