Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass atema nyongo kuhusu kuachana na Nandy

BILLLLL Billnass atema nyongo kuhusu kuachana na Nandy

Tue, 20 Apr 2021 Chanzo: eatv.tv

Billnass amefunguka kusema anashangaa watu wanaosambaza taarifa kwamba ameachana na mpenzi wake Nandy kwa sababu hajawahi kuongea lolote kuhusu hali yake ya mahusiano kwa sasa.

Billnass amesema watu wanakosea kusambaza taarifa hizo na wala hazihusiani na kile alichokiimba kwenye wimbo wake mpya wa tatizo ambapo mashabiki wengi wametafsiri kama amemchana Nandy.

"Mimi sijawahi kuzungumza popote kuhusu suala langu la mahusiano na hakuna mtu ambaye nimetaka aone kwamba nieleze ishu ipo hivi au vile, nimeamua kufanya kazi yangu ila tatizo kubwa ni kuanza na ukurasa mpya, watu wanakosea" amesema Billnass

Zaidi tazama hapa chini kwenye video.

Chanzo: eatv.tv