Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass ataka Nandy amzalie mapacha

NANDY BILLNASS PUNDAZ Billnass na Nandy

Tue, 22 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanandoa ambao pia ni wasanii maarufu wa Bongo Fleva, Billnass na Nandy wameeleza nia yao na kuzaa watoto mapacha ikiwa ni miezi kadhaa tangu wapate mtoto wao wa kwanza.

Kupitia moja ya komenti alizoziacha Hillnass kwenye post ambayo ali-share mke wake Nandy akimuuliza kuwa wataongeze mtoto mwingine.

#Billnass alijibu kuwa waongeze watoto mapacha kwani amechoka kumgombea mtoto mmoja.

"Sio mwingine, tuongeze wengine llease ikiwezekana mapacha, nimechoka Kumgombea huyu mmoja @officialnandy,"- alisema @billnass.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live