Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass alimpa Nandy zawadi ya Kalcha-Idriss

IDRISS NA BILLNASS Billnass alimpa Nandy zawadi ya Kalcha-Idriss

Thu, 13 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mji mzito huu! Wakati gumzo mjini likiwa ni msanii Faustina Charles 'Nandy' kumzawadia mumewe gari aina ya Range Rover, Rafiki wa Billnass Idriss Sultan ameibuka na jipya.

Mji mzito huu! Wakati gumzo mjini likiwa ni msanii Faustina Charles 'Nandy' kumzawadia mumewe gari aina ya Range Rover, Rafiki wa Billnass Idriss Sultan ameibuka na jipya. Idriss anasema kuwa anakumbuka katika Birthday ya Nandy, Nenga alimzawadia Kalcha yenye jina lake lakini yeye kapewa gari hivyo kayaweza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live