Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass afunguka kugoma kuajiriwa

Billnass 1693039280363.jpeg Billnass afunguka kugoma kuajiriwa

Tue, 14 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongofleva, Billnass amefunguka kwanini hadi sasa hajataka kuajiriwa licha ya kuwa na elimu ngazi ya degree upande wa usimamizi wa fedha.

Msanii wa Bongofleva, Billnass amefunguka kwanini hadi sasa hajataka kuajiriwa licha ya kuwa na elimu ngazi ya degree upande wa usimamizi wa fedha. Billnass amesema muziki unampatia fedha lakini kubwa zaidi unachukua muda wake mwingi, hivyo ni vigumu kupata na muda wa kuajiriwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live