Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass afafanua inshu ya kuziba pengo la Godzilla

Billnass Afafanua Inshu Ya Kuziba Pengo La Godzilla Billnass afafanua inshu ya kuziba pengo la Godzillah

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Hip Hop, Billnass amezungumzia ishu ya yeye kuambiwa ni msanii atakayekuja kuziba pengo la marehemu Rapa Godzillah.

Akizungumza na Clouds FM, Billnass mume halali wa msanii wa Bongo Fleva, Faustina Chales Mfinanga 'Nandy' amesema Kibongobongo hakuna watu wa kusaka vipaji na kwamba yeye alitoka kivyake.

"Mimi nilikuwa nafanya muziki wangu hata sijui nitatoka lini. Walionisaidia ni MwanaFA na TID, awali kabisa Mchafu ambaye ndiye alianza kunisaidia ambaye nipo naye mpaka leo, hizi mambo huwa wanasema mashabiki lakini kimsingi zinakuwa kwetu zinakuwa haziakisi ukweli," alisema Billnass.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live