Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass aahidi kutoa ngoma ya mwisho 2023

Billnassz Billnass aahidi kutoa ngoma ya mwisho 2023

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa @billnass anasema ngoma yake ijayo inayoitwa #Maokoto aliomshirikisha @marioo_tz inaenda kuwa Hit na kukomba Tuzo zote huku akisema kuwa ndio itakuwa ngoma yake ya Mwisho kwa mwaka huu 2023.

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa @billnass anasema ngoma yake ijayo inayoitwa #Maokoto aliomshirikisha @marioo_tz inaenda kuwa Hit na kukomba Tuzo zote huku akisema kuwa ndio itakuwa ngoma yake ya Mwisho kwa mwaka huu 2023. "#Billnass ft OMARY MWANGA ‼️ HII INAENDA KUCHUKUA TUZO YA WIMBO BORA MWAKA 2023, WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA, VIDEO BORA YA MWAKA 2023, WIMBO BORA AFRICA MASHARIKI, HUU WIMBO UNAENDA KUTOA PRODUCER BORA WA MWAKA 2023, DIRECTOR BORA WA VIDEO 2023 ‼️ BAADA YA HII SITATOA TENA WIMBO MWAKA HUU MAANA HII SIO NGOMA YA KUWEKA NGOMA NYENGINE MBELE YAKE ‼️ #MAOKOTO #ZINGATIAMAOKOTO #MAOKOTOYAZINGATIWE ???????????? ???????????????????????? ALOOOOOOOO‼️KUMBUKA TULIISHIA KWENYE PUUH ????"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live