Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass: Sishauri sana wasanii wafanye Amapiano

Billnass 1693039280363.jpeg Billnass: Sishauri sana wasanii wafanye Amapiano

Thu, 28 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari nchini mwanamuziki Billnass ameeleza kuwa yeye hawashawishi wala kushauri watu kuendelea kufanya muziki wa Amapiano na hatamani watu wafanye sana Amapiano lakini wanafanya kwa sababu ya kutafuta pesa kwani muziki huo umelenga maisha ya usiku.

Akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari nchini mwanamuziki Billnass ameeleza kuwa yeye hawashawishi wala kushauri watu kuendelea kufanya muziki wa Amapiano na hatamani watu wafanye sana Amapiano lakini wanafanya kwa sababu ya kutafuta pesa kwani muziki huo umelenga maisha ya usiku. Hata hivyo msanii huyo amesema kuwa hawezi kuacha kufanya muziki wa Amapiano kwa sababu ya maokoto na akidai anafamilia kwa hiyo lazima atafute pesa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live