Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass: Sijaacha Hip Hop, Amapiano imeniteka

Billnass 1693039280363.jpeg Billnass: Sijaacha Hip Hop, Amapiano imeniteka

Sat, 26 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa 'Maokoto' wa msanii Billnass, ameeleza kuwa hajaacha muziki wa hip-hop kuna mambo mengi mapya yanakuja amewataka mashabiki wake kukaa tayari kupokea wimbo mwingine mpya.

Wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa 'Maokoto' wa msanii Billnass, ameeleza kuwa hajaacha muziki wa hip-hop kuna mambo mengi mapya yanakuja amewataka mashabiki wake kukaa tayari kupokea wimbo mwingine mpya. Hata hivyo, msanii huyo wakati akijibu waandishi wa habari juu ya kauli ya msanii kutoka Kenya Khaligraph, akadai kuwa ni kweli kwa sasa wameamia katika amapiano kwani hata ‘maokoto’ ni Amapiano, kwa hiyo kwa sasa atauzungimzia muziki wa amapiano kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live