Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billie afunguka kupondwa matiti yake na Lil Yachty

Billie Eilish And Lil Yachty 696x442 Billie afunguka kupondwa matiti yake na Lil Yachty

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Billie Eilish amejibu kuhusu mistari ya ‘rapa’ Lil Yachty katika wimbo wake wa ‘Another Late Night’, ambapo 'rapa' huyo alisikika katika wimbo huo akizungumzia matiti ya Billie ni makubwa.

Mwanadada huyo akiwa katika mahojiano na Jarida la Variety ameeleza kuwa Lil alifanya utani katika huo mstari kwani ni rafiki yake licha ya kuwa kweli ana matiti makubwa.

Katika wimbo huo 'rapa' huyo amesikika akiimba ‘She Had Big Tits Like Billie Eilish’, but She Couldn't Sing’

Msanii huyo ametoa wimbo wa ‘What Was I Made For?’ miezi minne iliyopita na umeonekana kupendwa na watu wengi hadi sasa umetazamwa na watu milioni 77 kwenye mtandao wa You Tube.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live