Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bill Gates awataja Rema, Burna Boy

Bil Gates Bill Gates awataja Rema, Burna Boy

Thu, 22 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tajiri Bill Gates yupo nchini Nigeria kwa sasa, ametudokeza kwamba kipindi anajiandaa na ziara hiyo, binti yake aitwaye Phoebe alimwambia kwamba ana bahati kuitembelea nchi hiyo kwa sababu atakutana na Burna Boy pamoja na Rema.

Lakini Bill Gates anatukumbusha pia kwamba, mara ya mwisho alipokuja alipata nafasi ya kumuona Davido na Wizkid.

Je wasanii wetu wa Kibongo wanatambulika na wasikilizaji Kimataifa? Tuachie maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live