Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bila hela hakuna penzi - Poshy Queen

Bila Hela Hakuna Penzi   Poshy Queen.jpeg Bila hela hakuna penzi - Poshy Queen

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo mwenye shepu yake mjini Poshy Queen ameweka wazi kuwa, bila kuwa na hela hakuna mapenzi.

Amesema, yeye anazingatia sana maokoto kwani hilo ndilo linamwezesha kufanya kila kitu maishani. Anakwambia kuwa zawadi yake kubwa ni "PESA" hata kwenye Mapenzi Pesa ni muhimu.

"Nitasemaje zaidi ya pesa. Pesa ndio kila kitu hivyo kama hujanipa hela hakuna mapenzi na ndio zawadi nzuri kwangu mimi," alisema Poshy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live