Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bila Mil. 10 hujanipata-Shamsa

Shamsa Safi Bila Mil. 10 hujanipata-Shamsa

Tue, 16 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shamsa Ford; ni staa wa Bongo Movies ambaye kama kawaida yake anaungana na baadhi ya mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa wakitangaza dau la mahari na dau la kuwapata ili kuwa nao kwenye mapenzi almaarufu udangaji.

Shamsa ambaye ni mama wa mtoto mmoja wa kiume aliyezaa na mwanaume aitwaye Dick na ni mke mstaafu wa mfanyabishara Chid Mapenzi amekuwa gumzo baada ya kudai kwamba, mwanaume ambaye hawezi kumuhonga shilingi milioni 10, basi asimsogelee.

Shamsa anasema; “Sihongwi chini ya milioni 10, mwanaume ambaye hawezi kunihoga asinisogelee…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live