Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Big Sean apiga picha na nyuki 65,000

Bigi Big Sean apiga picha na nyuki 65,000

Fri, 22 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Rapa Big Sean kutoka nchini Marekani ameshea picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na kundi la nyuki wakati ana shoot video yake mpya ya “What A Life”, Big Sean anadai kwamba nyuki hao walikuwa Elfu 65,000 mwilini mwake.

Big Sean ameongeza kusema alikuwa na upendo kwa mzinga wa nyuki, na hataki kufikiria suala hilo kama lilikuwa na athari kwake au ujinga.

 

Chanzo: eatv.tv