Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bifu 30 nzito zilizowahi kutikisa muziki wa Bongo

Sugu88 Bifu 30 nzito zilizowahi kutikisa muziki wa Bongo

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo nimekuletea bifu takribani 30 ambazo ziliwahi kuwakumba wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya nchini.

Kiasi cha kugonganisha vichwa vya wadau wa muziki na pengine kwa kiasi fulani kuukuza muziki wao au hata wengine kuchangia kuwapoteza kabisa kisanaa.

1. Sugu na Ruge

2. Clouds Media na Vinega

3. TMK Wanaume na East Coast Team

4. Juma Nature na Inspector Haroun

5. Zay B na Sister P

6. TMK Wanaume na Wanaume Halisi

7. Dudubaya na Mr Nice

8. Afande Sele na O Ten

10. Kikosi cha Mizinga na Nako 2 Nako

11. Roma na Joh Makini

12. Afande Sele na Professa J

13. Rado na Fid Q

14. Inspector Haroun na Luteni Karama

15. Kalapina na Chid Benz

16. Dogo Mfaume na Omari Omari

17. Sugu na Mwana FA

18. Mwana FA na Lady Jaydee

19. Diamond na Ali Kiba

20. Sholo Mwamba na Man Fongo

21. Afande Sele na Madee

22. Madee na Ney wa Mitego

23. Langa na Jay Moe

24. Kikosi cha Mizinga na baadhi ya Wasanii wa Hip Hop nchini

25. TID na Q Chilla

26. Bob Junior na Diamond Platinumz

27. P Funk na Professa J

29. P Funk na Clouds Media

30. Kalapina na Clouds Media.

Unaweza kuongeza pia orodha ya wasanii waliokuwa na bifu kupitia muziki wa kizazi kipya ambao nimesahau kuweka majina yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live