Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Bibi miaka 79 atimiza ndoto ya kutembea dunia nzima

Luisa Yu Bibi miaka 79 atimiza ndoto ya kutembea dunia nzima

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bibi wa miaka 79 anayefahamika kwa jina la Luisa Yu mzaliwa wa #Ufilipino,ametimiza ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani kama alivyokuwa akitamani.

Bibi huyo amekuwa na tabia ya kutembea kwenye nchi mbalimbali kila mara akipata nafasi, kutokana na kuvutiwa na mandhari nzuri za sehemu tofauti tofauti anazoziona kwenye movie.

Wakati akifurahia kutimiza ndoto yake hiyo bibi huyo anawashauri watu wenye ndoto kama yake kuitimiza kila wakipata nafasi bila kuogopa, anawataka kuchangamka kila wapatapo fursa ya kusafiri. Nchi ya mwisho ambayo ni ya 193 aliyoitimisha nayo ni #Serbi.

@luisa_yu14 Alipotembelea Tanzania alifika maeneo mbalimbali kama vile Hifadhi ya Taifa ya #Ngorongoro na #Zanzibar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live