Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Biashara ya Beyonce na Adidas yavunjika

Adidas And Beyonce Announce Iconic Partnership Biashara ya Beyonce na Adidas yavunjika

Fri, 24 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beyonce na Adidas wamefikia makubaliano ya kumaliza ushirikiano wao Kibiashara kufuatia kutofanya vizuri kwa bidhaa za Mwanamuziki huyo sokoni.

Beyonce na Adidas wamefikia makubaliano ya kumaliza ushirikiano wao Kibiashara kufuatia kutofanya vizuri kwa bidhaa za Mwanamuziki huyo sokoni. Ripoti ya mauzo ya mwaka jana inaonesha Adidas waliitazama ‘Ivy Park Clothing’ kuingiza kiasi cha ($250 million) kwa mwaka 2022 lakini bidhaa hizo ziliangukia pua na kuingiza ($40 million) pekee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live